Lyamungo
Mandhari
Lyamungo ni kijiji kilichopo Wilaya ya Hai, mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania, karibu na Mlima Kilimanjaro.
Eneo hili lina hali ya hewa ya baridi na linajulikana kwa kilimo cha kahawa, ndizi, mahindi, na maharage.
Pia kuna Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Lyamungo kinachozalisha mbegu bora, hasa za maharage[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lyamungo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|