Nenda kwa yaliyomo

Luka Kigen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigen Luka Kipkorir ni mwanasiasa wa Kenya na mwanachama wa Orange Democratic Movement na alichaguliwa kuwakilisha eneo bunge la Rongai katika Bunge la Taifa la Kenya tangu uchaguzi wa bunge wa 2007.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Members Of The 10th Parliament Archived 2008-07-01 at the Wayback Machine. Bunge la Kenya. Accessed June 19, 2008.