Nenda kwa yaliyomo

Luis Pascual Dri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Luis Pascual Dri, OFM Cap. (alizaliwa 17 Aprili 1927), ni kasisi wa Kanisa Katoliki kutoka Argentina. Ni mwanachama wa Shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini (Order of Friars Minor Capuchin).

Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali tarehe 30 Septemba 2023.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.