Nenda kwa yaliyomo

Luis Héctor Villalba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Luis Héctor Villalba

Luis Héctor Villalba (alizaliwa 11 Oktoba 1934) ni kardinali wa Argentina wa Kanisa Katoliki ambaye aliwahi kuwa Askofu Mkuu wa Tucumán kuanzia mwaka 1999 hadi 2011. Alikuwa askofu msaidizi wa Buenos Aires kuanzia 1984 hadi 1991 na askofu wa San Martín kuanzia 1991 hadi 1999.[1]

  1. Miranda, Salvador. "VILLALBA, Luis Héctor (1934-)". The Cardinals of the Holy Roman Church. Florida International University. OCLC 53276621.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.