Ludilo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ludilo ni jina la kijiji kilichopo kata ya Mdabulo, Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa, Tanzania.

Kijiji cha Ludilo kimejumuisha mitaa kama Ludilo ya kati, Mtanga, Mjimwema, Lulindi, Ndyuka, Makinda na Ilongiyena.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ludilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.