Lucy Parker

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lucy Parker mnamo 2021

Lucy Michelle Parker (alizaliwa 18 Novemba 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uingereza ambae anacheza kama beki wa klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi ya Wanawake ya FA (WSL).[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://uclabruins.com/sports/womens-soccer/roster/lucy-parker/9663
  2. Aston Villa Football Club (2023-07-06). "Lucy Parker joins Villa Women!". Aston Villa Football Club. Iliwekwa mnamo 2024-04-22. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucy Parker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.