Lucrezia Orsina Vizzana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lucrezia Orsina Vizzana (Julai 1590 - 7 Mei 1662) alikuwa mwimbaji, mwandishi na mtunzi kutoka nchini Italia. Aliingia katika nyumba ya watawa ya Camaldoli ya S Christina.[1] huko Bologna 1598.

Alifundishwa uchoraji na shangazi yake, Camilla Bombacci.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sadie, Dr. Julie Anne; Samuel, Dr. Rhian (1994). The Norton/Grove Dictionary of Women Composers. W. W. Norton and Company. ku. 479–480. ISBN 0-333-515986. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucrezia Orsina Vizzana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.