Nenda kwa yaliyomo

Lucía Abello

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lucía Abello, ni mwanasayansi wa mimea na mmaktaba wa nchini Chile.[1] Amekuwa akisimamia uchunguzi na utafiti wa kuweka kumbukumbu za kusambaza mimea asilia katika nchi yake. Pia amekuwa na jukumu la kukuza usomaji katika maktaba ya umma kwa kuheshimu utunzaji wa mazingira.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Lucía Abello Abello". comunidadcreativalosrios.cultura.gob.cl. Iliwekwa mnamo 2021-03-09.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucía Abello kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.