Lubega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Lubega ni mvao wa nguo kama vile shuka, ambapo upande mmoja hupitishwa chini ya kwapa la mkono mmoja, kupitia mbele ya kifua, na upande mwingine juu ya bega la mkono mwingine, kupitia mgongoni.

Kwa namna nyingine, lubega ni mvao wa kitambaa au shuka kwa kupitisha twalio zake baina ya miguu na kuchomekea mkunjo wake kiunoni.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lubega kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.