Lovre Kalinić

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Lovre Kalinić

Lover Kalinić (alizaliwa 3 Aprili 1990) ni mchezaji wa timu ya taifa ya Kroatia ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Aston Villa.  

Kazi ya Klabu[hariri | hariri chanzo]

Gent[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 27 Desemba 2016, Lovre Kalinić alikuwa anahamia klabu yake kwanza ya Ubelgiji K.A.A. Gent kwa ada kubwa. Malipo ya uhamisho wake 3.1m ikafanya Kalinić kuwa mchezaji wa gharama kubwa zaidi katika historia ya Gent. Aliweza kuwa kipa bora katika ligi ya Ubelgiji kwa msimu wa mwaka 2016-17.

Aston Villa[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 21 Desemba 2018, kalinic alihamia upande wa uingereza katika klabu ya Aston Villa baada ya kufanya makubaliano na klabu ya Gent mwanzoni mwa Januari.

Alijiunga rasmi rasmi 1 Januari 2019. Mechi yake ya kwanza baada ya kufungwa 3-0 kwenye tiketi ya FA Cup dhidi ya klabu Swansea City.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Baada ya Stipe Pletikosa kustaafu katika soka la kimataifa mwaka 2014, Kalinić akawa kipa namba mbili(2) wa Timu ya taifa ya Croatia baada ya kipa namba moja (1) Danijel Subašić. Alikuwa sehemu ya kikosi cha Croatia cha UEFA Euro 2016.

Mwezi wa Mei 2018 aliitwa jina lake katika kikosi cha Croatia cha wachezaji 23 kwa ajili ya Kombe la Dunia la FIFA 2018 iliyofanyika nchini Urusi. Baada ya mashindano kumalizika,kipa namba moja Danijel Subašić astaafu katika timu ya taifana Kalinić amechaguliwa kuwa kipa namba moja katika uchaguzi wa timu ya taifa.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lovre Kalinić kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.