Nenda kwa yaliyomo

Livio Berruti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Livio Berruti

Livio Berruti (alizaliwa 19 Mei 1939) ni mwanariadha wa zamani nchini Italia ambaye alikuwa mshindi wa mbio za mita 200 katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 1960.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Livio Berruti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.