Linda Mearns

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Linda Opal Mearns ni mtaalamu wa mambo ya mazingira na wa sayansi ya hali ya hewa amejikita zaidi katika sayansi ya mabadiliko ya hali ya hewa.

Mearns ni mwanasayansi mkuu katika kituo cha kitaifa cha tafiti za angahewa[1]. Mearns pia ni mkurugenzi wa programu ya sayansi ya tathmini ya hali ya hewa na athari za mabadiliko ya hali ya hewa, na ni mkuu wa kikanda wa sayansi shirikishi na mpelelezi mkuu wa mpango wa mabadiliko ya hali ya hewa wa eneo la Amerika Kaskazini.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Read "A National Strategy for Advancing Climate Modeling" at NAP.edu (kwa Kiingereza). 
  2. Read "A National Strategy for Advancing Climate Modeling" at NAP.edu (kwa Kiingereza). 
  3. "Linda Mearns | staff.ucar.edu". staff.ucar.edu. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-20. Iliwekwa mnamo 2023-05-20. 
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Linda Mearns kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.