Nenda kwa yaliyomo

Linda Martín Alcoff

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Linda Martín Alcoff ni mwanafalsafa na profesa wa falsafa katika Hunter College, Chuo Kikuu cha jiji la New York. Alcoff amebobea katika masuala ya epistemolojia ya kijamii.[1]

Ameandika au kuhariri zaidi ya vitabu kumi na mbili, vikiwemo vitabu kama Visible Identities: Race, Gender, and the Self (2006), The Future of Whiteness (2015), na Rape and Resistance (2018). Maandishi yake ya falsafa ya umma yamechapishwa katika The Guardian na The New York Times.[2][3]

  1. "CUNY Graduate Center Faculty Bio". City University of New York. Iliwekwa mnamo Juni 21, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "The Guardian Author Page". The Guardian. Iliwekwa mnamo Juni 22, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "NYTimes Opinionator Author Page". The New York Times. Iliwekwa mnamo Juni 22, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Linda Martín Alcoff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.