Nenda kwa yaliyomo

Lim Kimya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lim Kimya (1951/19527 Januari 2025) alikuwa mwanasiasa wa Kambodia na ufaransa. Akiwa mwanachama wa chama cha kitaifa cha Uokoaji wa Kambodia (CNRP), Lim alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa mbunge mwaka 2013 na alihudumu hadi 2018. [1]

  1. "Suspected killer of former Cambodian MP arrested". Bangkok Post (kwa Kiingereza). 2025-01-08. Iliwekwa mnamo 2025-01-08.