Lilia Fisikovici

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lilia Fisikowici kwenye Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2016
Lilia Fisikowici kwenye Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2016

Lilia Fisikovici (alizaliwa 29 Machi 1989) ni mwanariadha wa umbali mrefu kutoka nchi ya Moldova aliyegobea kwenye marathoni. Alishiriki marathoni ya wanawake kwenye michezo ya olimpiki ya mwaka 2016.[1] Alifuzu kuiwakilisha Moldova tena kwenye michezo ya olimpiki majira ya joto mwaka 2020.[2]

Mwaka 2018, kwenye Marathoni ya Ljubljana iliyofanyika Ljubljan, Slovenia, aliweka rekodi mpya ya marathoni ya Moldova  kwa rekodi ya muda wa 2:28:26.[3] Mwaka 2020, alishinda kwenye nusu marathoni ya wanawake kwenye michuano yam waka 2020 ya World Athletics Half Marathon yaliofanyika Gdynia, Polandi.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. www.rio2016.com
  2. Arina Livadari (2019-04-29). "Lilia Fisikovici is the first Moldovan athlete to qualify for the Tokyo Olympic Games". Moldova.org (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2021-10-02. 
  3. "European Athletics Homepage | European Athletics". european-athletics.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-10-02. 
  4. 0_R_COR (iaaf.org)