Lila Tretikov
Mandhari
Lila Tretikov (alizaliwa Olga (Lyalya) Tretyakova, Moscow, Umoja wa Kisovyeti.[1] Januari 25, 1978) ni mhandisi na meneja wa Urusi na Marekani.[2] Tretikov alizaliwa jijini.
Baba yake alikuwa mtaalamu wa hesabu na mama alikuwa mtunzi wa filamu.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Meet the Woman Charged With Saving Wikipedia". TIME.com. Iliwekwa mnamo 2022-10-03.
- ↑ "Knight Foundation invests in immersive technology". Microsoft In Culture (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-10-03. Iliwekwa mnamo 2022-10-03.