Lil Nas X

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lil Nas X
Lil Nas kwenye tuzo za American Music Awards, mnamo Novemba 2019
Lil Nas kwenye tuzo za American Music Awards, mnamo Novemba 2019
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Montero Lamar Hill
Amezaliwa Aprili 9 1999 (1999-04-09) (umri 24)
Asili yake Marekani
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki
Ala sauti
Miaka ya kazi 2015-hadi leo
Studio Columbia
Tovuti lilnasx.com

Montero Lamar Hill (maarufu kama Lil Nas X; alizaliwa 9 Aprili 1999) ni mwanamuziki wa Hip hop wa nchini Marekani na pia ni mwandishi wa nyimbo.

Alijulikana kimataifa baada ya kutoa kibao chake alichokiita Old Town Road ambacho kilipata umaarufu mkubwa sana katika mitandao mnamo mwaka 2019. Wimbo huo ulishika namba moja nchini marekani katika Billboard Hot 100 na kuwa katika nafasi hiyo ndani ya wiki kumi na tisa, na ndio wimbo pekee ambao umeweza kufanya hivyo tangu kuanzishwa kwa orodha hiyo ya nyimbo kali mnamo mwaka 1958. Pia Nas X, alichaguliwa katika tuzo mbalimbali ikiwemo ile ya Grammy Awards ambapo alichaguliwa katika vipengele vya Wimbo bora wa mwaka, Albamu bora ya mwaka na pia kama Msanii bora chipukizi.

Mnamo Juni 2019, Lil Nas X alijitangaza kuwa shoga na ni msanii wa kwanza ambaye kashikilia namba moja katika orodha ya nyimbo bora kufanya hivyo. Nyimbo ya "Old Town Road" imeweza kumpatia tuzo kutok katika MTV Video Music Awards ikiwemo tuzo ya wimbo bora wa mwaka na ni msanii pekee mbaye ni shoga kushinda tuzo ya Cross country association na ni kwa sababu tu ya wimbo wake.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Orodha ya albamu, pamoja na maelezo na nafasi iliyoshika
Albamu Maelezo Nafasi iliyoshika Mauzo Matunukio
Marekani
[1]
Australia
[2]
Austria
[3]
Canada
[4]
Denmark
[5]
Ufaransa
[6]
Ireland
[7]
New Zealand
[8]
Sweden
[9]
Uingereza
[10]
7 2 5 72 1 9 15 11 5 10 23
 • Marekani: 4,000[1]

Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Nyimbo Mwaka Nafasi iliyoshika Mauzo Matunukio Albamu
Marekani
[12][13]
Marekani
R&B
/HH
[14]
Australia
[15]
Canada
[16]
Denmark
[17]
Ireland
[18]
Norway
[19]
New Zealand
[20]
Sweden
[21]
Uingereza
[10]
"Old Town Road"
(pamoja na Billy Ray Cyrus)
2018 1 1 1 1 1 1 1 1 2 1
 • Marekani: 1,536,000[22]
 • RIAA: Diamond[23]
 • ARIA: 10× Platinum[15]
 • BPI: 3× Platinum[24]
 • IFPI DEN: Gold[25]
 • RMNZ: 4× Platinum[26]
 • GLF: 2× Platinum[27]
7
"Panini" 2019 5 2 15 8 28
[28]
18 26 14
[29]
42 21

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Tuzo Mwaka Anayetuzwa/Kinachotuzwa Aina ya Tuzo Matokeo Marejeo
American Music Awards 2019 Mwenyewe New Artist of the Year Aliteuliwa [33]
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Collaboration of the Year Aliteuliwa
Favorite Song — Rap/Hip-Hop Ameshinda
Video of the Year Aliteuliwa
Favorite Song — Pop/Rock Aliteuliwa
Apple Music Awards 2019 "Old Town Road" Song of the Year Ameshinda [34]
BBC Radio 1's Teen Awards 2019 "Old Town Road" Best Single Aliteuliwa [35]
BET Hip Hop Awards 2019 Mwenyewe Best New Hip Hop Artist Aliteuliwa [36]
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Single of the Year Ameshinda
Best Collab, Duo or Group Ameshinda
Bravo Otto 2019 Mwenyewe Newcomer - [37]
BreakTudo Awards 2019 Mwenyewe International Male Artist Aliteuliwa [38]
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) International Hit of the Year Aliteuliwa
Country Music Association Awards 2019 "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Musical Event of the Year Ameshinda [39]
Danish Music Awards 2019 "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Foreign Song of the Year Aliteuliwa [40]
Grammy Awards 2020 Mwenyewe Best New Artist Aliteuliwa [41]
"Panini" Best Rap/Sung Performance Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Record of the Year Aliteuliwa
Best Pop Duo/Group Performance Ameshinda
Best Music Video Ameshinda
7 Album of the Year Aliteuliwa
iHeartRadio Music Awards 2020 "Old Town Road" Song of the Year -
Hip-Hop Song of the Year -
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Best Music Video -
Best Remix -
Mwenyewe Best New Pop Artist -
Best New Hip-Hop Artist -
LOS40 Music Awards 2019 Mwenyewe Best International New Artist Aliteuliwa [42]
MTV Europe Music Awards 2019 Mwenyewe Best New Act Aliteuliwa [43]
Best Look Aliteuliwa
Best US Act Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Best Song Aliteuliwa
Best Video Aliteuliwa
Best Collaboration Aliteuliwa
MTV Video Music Awards 2019 Mwenyewe Best New Artist Aliteuliwa [44]
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Video of the Year Aliteuliwa
Song of the Year Ameshinda
Best Collaboration Aliteuliwa
Best Hip-Hop Video Aliteuliwa
Song of Summer Aliteuliwa
Best Direction Ameshinda
Best Editing Aliteuliwa
Best Art Direction Aliteuliwa
MTV Video Play Awards[45][46][47][48] 2019 "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Winning Video Ameshinda [49]
NRJ Music Awards 2019 Mwenyewe International Breakthrough of the Year Aliteuliwa [50]
Lil Nas X na Billy Ray Cyrus International Duo/Group of the Year Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) International Song of the Year Aliteuliwa
Video of the Year Aliteuliwa
People's Choice Awards 2019 Mwenyewe Male Artist of 2019 Aliteuliwa [51]
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Song of 2019 Aliteuliwa
Streamy Awards 2019 Mwenyewe Breakthrough Artist Ameshinda [52]
Swiss Music Awards 2020 "Old Town Road" Best International Hit - [53]
Teen Choice Awards 2019 Mwenyewe Choice Male Artist Aliteuliwa [54]
Choice Breakout Artist Aliteuliwa
"Old Town Road" Choice Song: Male Artist Aliteuliwa
"Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Choice Collaboration Aliteuliwa
Choice Song: R&B/Hip-Hop Ameshinda
UK Music Video Awards 2019 "Old Town Road" (pamoja na Billy Ray Cyrus) Best Urban Video – International Aliteuliwa [55]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. 1.0 1.1 Caulfield, Keith (June 30, 2019). The Raconteurs Land First No. 1 Album on Billboard 200 Chart With 'Help Us Stranger'. Billboard. Iliwekwa mnamo July 1, 2019.
 2. ARIA Australian Top 50 Albums. Australian Recording Industry Association (July 1, 2019). Iliwekwa mnamo June 29, 2019.
 3. Discographie Lil Nas X (de). Iliwekwa mnamo August 2, 2019.
 4. 2019 Archive: Canadian Albums. Billboard. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-04-13. Iliwekwa mnamo July 2, 2019.
 5. Album Top-40 Uge 25, 2019. Hitlisten. Iliwekwa mnamo July 3, 2019.
 6. Discographie Lil Nas X (de). Hung Medien. Iliwekwa mnamo August 2, 2019.
 7. IRMA – Irish Charts. Irish Recorded Music Association. Iliwekwa mnamo June 29, 2019.
 8. NZ Top 40 Albums Chart. Recorded Music NZ (July 15, 2019). Iliwekwa mnamo July 12, 2019.
 9. Veckolista Album, vecka 32. Sverigetopplistan. Iliwekwa mnamo August 9, 2019.
 10. 10.0 10.1 Lil Nas X. Official Charts Company. Iliwekwa mnamo April 8, 2019.
 11. Lil Nas X: 7 EP.
 12. Trust, Gary (April 8, 2019). 'Lil Nas X's "Old Town Road" Leaps to No. 1 on the Hot 100. Billboard. Iliwekwa mnamo April 9, 2019.
 13. Trust, Gary (September 23, 2019). Lizzo's 'Truth Hurts' Tops Billboard Hot 100 For Fourth Week, Lil Nas X's 'Panini' Hits Top 10. Billboard. Iliwekwa mnamo September 24, 2019.
 14. Top R&B/Hip-Hop Songs: April 13, 2019. Billboard. Iliwekwa mnamo April 9, 2019.
 15. 15.0 15.1 ARIA Australian Top 50 Singles. Australian Recording Industry Association (December 23, 2019). Iliwekwa mnamo December 21, 2019.
 16. Chart Search: Canadian Hot 100. Billboard. Iliwekwa mnamo October 1, 2019.
 17. Discography Lil Nas X. Danish Charts (Hung Medien). Iliwekwa mnamo May 15, 2019.[dead link]
 18. IRMA – Irish Charts. Irish Recorded Music Association. Iliwekwa mnamo June 29, 2019.
 19. Peaks in Norway:
 20. NZ Top 40 Singles. Recorded Music NZ (April 15, 2019). Iliwekwa mnamo April 12, 2019.
 21. Peaks in Sweden:
 22. Bjorke, Matt (January 7, 2020). Top 30 Digital Country Songs Chart: January 7, 2020. Rough Stock. Iliwekwa mnamo January 8, 2020.
 23. Gold & Platinum – RIAA: Lil Nas X. Recording Industry Association of America. Iliwekwa mnamo May 31, 2019.
 24. 24.0 24.1 Kigezo:Cite certification
 25. Lil Nas X — Old Town Road. IFPI Denmark. Iliwekwa mnamo May 15, 2019.
 26. Kigezo:Cite certification
 27. Sverigetopplistan (sv).
 28. Track Top-40 Uge 25, 2019. Hitlisten. Iliwekwa mnamo July 3, 2019.
 29. NZ Top 40 Singles Chart. Recorded Music NZ (July 8, 2019). Iliwekwa mnamo July 5, 2019.
 30. Lil Nas X: Panini.
 31. ARIA Chart Watch #554. auspOp (December 7, 2019). Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-12-08. Iliwekwa mnamo December 7, 2019.
 32. Kigezo:Cite certification
 33. Nordyke, Kimberly. "American Music Awards: Taylor Swift Wins Artist of the Year, Sets New Record", The Hollywood Reporter, October 9, 2018. 
 34. Singleton, Micah (December 2, 2019). Billie Eilish Earns Top Honors From Inaugural Apple Music Awards. Billboard.
 35. Best Single. BBC.
 36. Cardi B Leads 2019 BET Hip Hop Awards With 10 Nominations: Exclusive.
 37. BRAVO-Otto-Wahl 2019: Vote für deinen Star! (October 23, 2019).
 38. BreakTudo Awards 2019: BlackPink, BTS and Red Velvet received multiple nominations.
 39. CMA Awards 2019: See who won big at country music's biggest night. CNN.com (November 14, 2019).
 40. Vindere til Danish Music Awards 2019 (Danish). IFPI Danmark (October 17, 2019).
 41. 2020 GRAMMY Awards: Complete Nominees List (November 20, 2019).
 42. JONAS BROTHERS, ROSALÍA, AITANA, LEIVA Y MANUEL CARRASCO, MÁXIMOS NOMINADOS DE LOS40 MUSIC AWARDS 2019. Los40.com.
 43. Ariana Grande Leads 2019 MTV EMA Nominations. Variety (October 1, 2019).
 44. "Here Are All the Winners From the 2019 MTV VMAs", Billboard, August 26, 2019. 
 45. Jessie J And Adele Top MTV Video Play Awards Winners List.
 46. Corner, Lewis (February 8, 2012). Adele, Jessie J scoop MTV Play awards.
 47. CARDI B, BRUNO MARS, DUA LIPA, RUDIMENTAL AND CLEAN BANDIT TOP MTV'S MOST PLAYED VIDEOS OF 2018.
 48. MTV Video Play Awards: Check Out Which Artist is Most Played - BNL (February 13, 2012).
 49. "2019 mtv video play awards", MTV UK. 
 50. NRJ Music Awards 2019 : Angèle, Roméo Elvis et Lil Nas X dominent la liste des nommés (French). Ozap.
 51. "2019 People's Choice Awards:Complete List of Nominees", E! News, September 5, 2019. 
 52. Winners Announced for the 9th Annual Streamy Awards (December 14, 2019). Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-01-16. Iliwekwa mnamo 2020-01-28.
 53. «Swiss Music Awards»: Die ersten Nominierten stehen fest (German). Schweizer Radio und Fernsehen (January 8, 2020). Iliwekwa mnamo January 8, 2020.
 54. "Teen Choice Awards 2019 winners announced-see the full list", Alternative Press, August 12, 2019. 
 55. uk video music awards 2019 nominations. UK Music Video Awards.


Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lil Nas X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.