Nenda kwa yaliyomo

Libania Grenot

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Libania Grenot Martinez (alizaliwa Cuba, 12 Julai 1983) ni mwanariadha wa zamani wa Italia [1] ambaye alibobea katika mbio za mita 400.

Bingwa wa Uropa mara mbili (2014, 2016), anashikilia rekodi za Italia katika mbio za mita 200 na 400. [2]

  1. Benatti, Andrea (2019-04-25). "Libania Grenot si è ritirata! Diventerà mamma..." Queen Atletica | AtleticaLive.it (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 2021-06-19.
  2. "PRIMATI E MIGLIORI PRESTAZIONI ITALIANE" (PDF).
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Libania Grenot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.