Nenda kwa yaliyomo

Lesley-Ann Brandt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lesley-Ann Brandt

Brandt wakati wa Kongamano la Lusifa huko Paris mnamo 2022
Amezaliwa 2 Disemba 1981
Afrika Kusini
Nchi Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini
Kazi yake Muigizaji

Lesley-Ann Brandt (alizaliwa mnamo 2 Disemba 1981) ni muigizaji wa kike wa nchini Afrika Kusini. Brandt ameigiza filamu nyingi katika televisheni ya New Zealand na mara kujulikana sana kimataifa katika filamu kwa uhusika wake kama msichana mtumwa katika filamu ya Spartacus: Blood and Sand. Tangu Januari 2016, aliigiza uhusika kama Mazikeen katika filamu ya Lucifer.

Maisha ya wali

[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa Cape Town, Afrika Kusini, Brandt ni Mzungu wa Cape mwenye asili ya Khoisan, India, Ujerumani, Uholanzi, San, Kihispania na Kireno. [1] Yeye ni mzungumzaji mzuri wa Kiafrikana na anaorodhesha yoga, hoki, na besiboli miongoni mwa mambo anayopenda. [2] Nchini Afrika Kusini, alicheza hoki ya uwanjani yenye ushindani.[3]

  1. "Actress Lesley Ann Brandt from the show 'Lucifer'". YouTube. 8 Februari 2016. Iliwekwa mnamo 8 Februari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Lesley-Ann Brandt". Karen Kay Management. 23 Novemba 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Mei 2010. Iliwekwa mnamo 22 Novemba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Cast Bios: Lesley-Ann Brandt (Naevia)" (PDF). starz.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 17 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 22 Novemba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lesley-Ann Brandt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.