Nenda kwa yaliyomo

Leonie Maier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Leonie Maier

Leonie Rebekka Maier [1](alizaliwa 29 Septemba 1992) ni mchezaji wa soka wa nchini Ujerumani. Kwa sasa anacheza kama beki wa klabu ya wanawake ya Everton na timu ya taifa ya Ujerumani.

  1. Krech, Eva-Maria; Stock, Eberhard; Hirschfeld, Ursula; Anders, Lutz Christian (2009). Deutsches Aussprachewörterbuch [German Pronunciation Dictionary] (kwa German). Berlin: Walter de Gruyter. ku. 697, 718. ISBN 978-3-11-018202-6.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leonie Maier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.