Leo Kokubo
Mandhari
Leo Kokubo (alizaliwa 23 Januari 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambaye anacheza kama kipa wa timu ya Ubelgiji Sint-Truiden.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leo Kokubo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |