Lenovo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Lenovo ni kampuni ya kompyuta ya huko China inayotengeneza kompyuta, kompyuta bapa, kompyuta mpakato, na vifaa vingine.

Lenovo ilianzishwa mwaka 1984 huko Beijing, Lenovo alipata biashara ya kompyuta ya IBM mwaka 2005 na alikubali kupata biashara yake ya seva ya Intel mwaka 2014. Mnamo Januari 2014.

Pia Lenovo ina matoleo mbalimbali kama vile Lenovo Yoga 2 Pro n.k