Lena Petermann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Perermann akiwa na timu ya taida Ujerumani mnamo 2021

Lena Petermann (alizaliwa 5 Februari 1994)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Ujerumani.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lena Petermann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.