Layvin Kurzawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kurzawa akiwa PSG.

Layvin Kurzawa (alizaliwa 4 Septemba 1992) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza katika klabu ya Ligue 1 Paris Saint-Germain (PSG) na timu ya taifa ya Ufaransa kama beki wa kushoto.


Alianza kazi yake na klabu ya AS Monaco mwaka 2010, na alicheza michezo 96 rasmi katika timu hiyo, akifunga mabao 16. Mwaka 2015, alisaini mkataba wa miaka mitano na PSG kwa euro milioni 23. Kurzawa aliisaidia timu ya taifa ya Ufaransa mwaka 2014 na 2018.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Layvin Kurzawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.