Laura Wienroither

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Laura Wienroither mnamo Oktoba mwaka 2017.

Laura Wienrouther (alizaliwa 13 Januari 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Austria ambaye anacheza kama mlinzi katika klabu ya Arsenal iliyopo Ligi Kuu ya Wanawake ya FA(WSL) na timu ya taifa ya wanawake ya Austria.

Mnamo tarehe 15 Januari 2022, Wienroither alijiunga na Arsenal ya FA WSL akitokea klabu ya Ujerumani 1899 Hoffenheim kwa ada ambayo haijatajwa.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kigezo:Soccerway
  2. "Nationalspielerin Laura Wienroither" (kwa Kijerumani). Soccerdonna.de. Iliwekwa mnamo 22 September 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Laura Wienroither joins the club". Arsenal WFC. 15 January 2022. Iliwekwa mnamo 15 January 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laura Wienroither kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.