Laura Hoffmann
Mandhari
Laura Hoffmann (alizaliwa 12 Agosti 1991) ni mchezaji wa soka wa nchini Ujerumani na ambaye anacheza kama beki wa klabu ya wanawake ya SpVg Berghoven.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Laura Hoffmann". German Football Association.
- ↑ "Laura Hoffmann". soccerway.com.
- ↑ "Laura Hoffmann". worldfootball.net.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Laura Hoffmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |