Nenda kwa yaliyomo

Lasary

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lazari ni aina ya saladi ya Kimalagasi.  Inaaminika kwamba ni chakula kinachotokea kaskazini Madagaska.[1]  Chakula hicho pia kinaitwa Antsary au Ansary katika baadhi ya maeneo. [1]

Ni maarufu kama chakula cha ziada. Kinaweza pia kuongezwa kwenye mishikaki na mchele.[2]

Milimani, inatengenezwa na maharagwe ya kijani, kabichi, karoti na vitunguu katika mchuzi wa vinaigrette.  Katika maeneo ya mijini, inatengenezwa na kachumbari ya maembe na malimao.[3]

  1. 1.0 1.1 "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-16. Iliwekwa mnamo 2022-06-12.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-05-18. Iliwekwa mnamo 2022-06-12.
  3. https://afktravel.com/97288/incredible-edibles-10-foods-from-madagascar-that-you-have-to-try/2/