Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hisabati (kwa Kigiriki: μαθηματικά, mathēmatiká), ni somo linalohusika na idadi, upimaji na ukubwa. Kwa ujumla ni somo linalohusika na miundo na vielezo.
Hisabati inajumlisha masomo mbalimbali, kama hesabu, jiometria na aljebra.