Nenda kwa yaliyomo

Lalela Mswane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lalela Mswane
Amezaliwa 27 Machi 1997
KwaZulu-Natal
Nchi Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini
Kazi yake Mwanamitindo

Lalela Mswane (alizaliwa KwaZulu-Natal, 27 Machi 1997) ni mwanamitindo wa Afrika Kusini, na mshindi wa shindano la urembo la Miss Supranational 2022.[1]

Mswane aliwahi kuwa mshindi wa Miss Afrika Kusini 2021 na Miss Universe 2021 nafasi ya 3.[2]

  1. Ngcobo, Khanyisile. "Lalela Mswane flies SA's flag high as she's crowned Miss Supranational 2022" (kwa American English). DispatchLIVE. Iliwekwa mnamo 2022-07-16.
  2. Mazibuko, Thobile. "WATCH: Lalela Mswane makes history as the first Black woman to win Miss Supranational" (kwa American English). iol.co.za. Iliwekwa mnamo 2022-07-16.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lalela Mswane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.