Nenda kwa yaliyomo

Laila Soueif

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Laila soueif
Amezaliwa 1956
Cairo, Misri
Nchi Misri
Kazi yake Mwanaharakati
Mahusiano mjane


Laila na Mwanae Mona Soueif

Laila Soueif (alizaliwa 1956) ni mwanaharakati wa haki za binadamu na za wanawake kutokea Misri, mwanamahesabu na profesa katika chuo kikuu cha Kairo. Al Jazeera hupendelea kumuita mwanamapinduzi wa Misri.[1] Pia ni mjane wa mwanaharakati mwenzie aliyejulikana kama Ahmed Seif El-Islam.

  1. "An Egyptian revolutionary". www.aljazeera.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-04.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laila Soueif kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.