Nenda kwa yaliyomo

LAFamilia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

LAFamilia ni kundi la wasanii wa muziki wa hip hop kutoka Manispaa ya Ilala, mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania. Baadhi ya wanachama maarufu wa kundi hilo ni Chid Benz na Lameck Ditto. Kama ilivyo kwa makundi mengi ya muziki nchini Tanzania, LAFamilia ilikumbwa na changamoto za ndani, ikiwa ni pamoja na migogoro na tofauti za kimaoni, ambazo zilisababisha kundi hilo kusambaratika. Kwa sasa, kundi hili halipo tena.

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu LAFamilia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.