Léon Dehon
Mandhari
Léon-Gustave Dehon, S.C.J. (jina la kitawa: Jean wa Moyo Mtakatifu, 14 Machi 1843 – 12 Agosti 1925) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa na mwanzilishi wa Shirika la Moyo Mtakatifu wa Yesu (Congregation of the Sacred Heart of Jesus), maarufu kama Wadehoni.
Maisha yake ya kikuhani yalihusisha kujitoa kwa karibu na wafanyakazi, huku akihamasisha hasa ibada kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Leo Dehon (1843-1925)". Holy See. Iliwekwa mnamo 13 Desemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Venerable Leo Gustav Dehon". Saints SQPN. 6 Aprili 2017. Iliwekwa mnamo 13 Desemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |