Kutama, Zimbabwe
Mandhari
Kutama, Zimbabwe ni mji wa Zimbabwe, katika mkoa wa Mashonaland Magharibi.
Ndipo alipozaliwa na hatimaye kuzikwa rais Robert Mugabe.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kutama, Zimbabwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |