Nenda kwa yaliyomo

Kusasisha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kusasisha (kutoka neno "sasa"; kwa Kiingereza: update) ni kitendo cha kuongeza au kutolea maelezo juu ya kitu fulani ambacho taarifa au maelezo yake yalikuwepo tangu awali.

Hii inaweza elezea zaidi upande wa teknolojia ya kompyuta ambapo ni kuongeza taarifa za database, lakini mara nyingine huelezwa kisanaa na burudani.

Maana nyingine ni kufanya mfumo au jambo lionekane kama la kisasa au pia kuanza kutumia njia na vifaa vya kisasa (kwa Kiingereza: upgrade).

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.