Majadiliano:Kusasisha

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala ilitungwa na makosa mengi ya tahajia. Maelezo yake hayatoshi, haina vyanzo. Kiungo kwa enwiki haikubaliki kama rejeo, Hii inatakiwa kuingizwa katika interwiki yaani kwa kuunganisha na makala kuhusu jambo lileile kwa lugha nyingine. Kipala (majadiliano) 14:10, 15 Septemba 2018 (UTC)[jibu]