Kurow

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moja ya Barabara katika Mji wa Kurow
Ukitafuta mji wa Poland, uone Kurów.
Mahali pa Kurow katika New Zealand

Kurow ni mji mdogo kwenye bonde la Waitaki kwenye kisiwa cha kusini cha New Zealand katika wilaya ya Otago. Mazingira ya Kurow ina miradi mbalimbali ya kutengeneza umeme kwa nguvu ya maji. Kuna kilimo cha matunda hasa mizabibu.

Kuna mvutano kuhusu asili ya jina la mji kama imetokana na neno la Wamaori wazalendo au kutoka kwa mji wa Kurów.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.