Majadiliano:Kurow
Mandhari
Matt, nimeweka "mji" badala ya kijiji; kwa sasa weneyewe wanaandika kijiji lakini iliwahi kuwa na cheo cha mji tayari kihistoria. Pia majengo yanayoonyesha si ya kijiji. --Kipala 19:05, 26 Aprili 2006 (UTC)
- Haya, sina neno. Matt Crypto 21:35, 26 Aprili 2006 (UTC)