Nenda kwa yaliyomo

Kubra Noorzai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kubra Noorzai (1932 - 1986) alikuwa mwanasiasa wa Afghanistan, mwanamke wa kwanza kuwa waziri wa nchi,[1] akihudumu kama waziri wa Afya ya umma kati ya 1965 na 1969.

  1. Ende, W.; Grassmuck, George; Adamec, Ludwig W.; Irwin, Frances H. (1974). "Afghanistan. Some New Approaches". Oriens. 23: 539. doi:10.2307/1580154. ISSN 0078-6527.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kubra Noorzai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.