Nenda kwa yaliyomo

Krystal Ball

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ball in 2009

Krystal Marie Ball (alizaliwa Novemba 24, 1981) ni mchambuzi wa kisiasa wa nchini Marekani. Hapo awali alikuwa mgombea wa kisiasa, na pia mtangazaji wa televisheni kwenye MSNBC, mchangiaji wa mara kwa mara wa HuffPost na mtangazaji wa zamani wa gazeti la The Hill.[1]


Mnamo Mei 2021, Ball na Enjeti walitangaza kuwa wanaondoka kwenye onyesho ili kuachilia mradi wao binafsi unaoitwa Breaking Points.[2][3] Ball ni muwekezaji pamoja na Kyle Kulinski kwenye podikasti ya Krystal Kyle & Friends. Amefanya maonyesho tofauti tofauti kwenye mitandao kama vile CNN, CNBC, Fox News na programu kama vile Real Time with Bill Maher.


  1. "Rising". TheHill (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo Oktoba 11, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. THANK YOU Subscribers AND How Krystal and Saagar's Launch Was Almost A TOTAL DISASTER
  3. "The fall of Rising". The Spectator World (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-01. Iliwekwa mnamo 2021-06-07.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Krystal Ball kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.