Kronos ry

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kronos ry ni chama cha wanafunzi wa historia wa chuo kikuu cha Helsinki.[1] Kronos ry ilianzishwa mwaka 1945.[2] Hili chama cha wanafunzi wa historia ni chama cha wanafunzi kwa wanafunzi wanaozungumza Kifini. Chama cha wanafunzi wa historia kwa wanafunzi wanaonzungumza Kiswidi ni Historicus r.f.[3]

Kronos ry panga matukio mbalimbali. Matukio ya kazi, matukio ya chama, matukio ya utamaduni, matukio ya kusoma na matukio ya michezo.[4] Kronos ry huchapisha gazeti pia.[5]

Serikali ya Kronos ry imechaguliwa kila mwaka.[6]

  1. "Kronos ry - Helsingin yliopiston historian opiskelijoiden ainejärjestö". Kronos ry (kwa Kifini). Iliwekwa mnamo 2023-04-12. 
  2. "Kronos ry - Helsingin yliopiston historian opiskelijoiden ainejärjestö". Kronos ry (kwa Kifini). Iliwekwa mnamo 2023-04-12. 
  3. "Historicus r.f.". m.historicusrf.fi. Iliwekwa mnamo 2023-04-12. 
  4. "Kronos ry - Helsingin yliopiston historian opiskelijoiden ainejärjestö". Kronos ry (kwa Kifini). Iliwekwa mnamo 2023-04-12. 
  5. "Kronos ry - Helsingin yliopiston historian opiskelijoiden ainejärjestö". Kronos ry (kwa Kifini). Iliwekwa mnamo 2023-04-12. 
  6. "Ainejärjestö". Kronos ry (kwa Kifini). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-12. Iliwekwa mnamo 2023-04-12.