Kreta ya Embagai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
2°54′50″S 35°49′31″E / 2.91402°S 35.82514°E / -2.91402; 35.82514

Kreta ya Embagai (pia Empakaai) ni kreta ya volkeno iliyopo kati ya Ziwa Eyasi na Ziwa Natron katika Mkoa wa Arusha, nchini Tanzania.

Mlima una kimo cha mita 2,666 juu ya usawa wa bahari. Katikati ya kreta kuna ziwa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]