Koko wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Koko

Koko (83026 Agosti, 887) alikuwa mfalme mkuu wa 58 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tokiyatsu, na alikuwa mwana wa tatu wa Tenno Ninmyo. Mwaka wa 884 alimfuata Tenno Yozei aliyekuwa amepoteza akili, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Uda.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Koko wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.