Ninmyo wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ninmyo)

Ninmyo (27 Septemba, 8086 Mei, 850) alikuwa mfalme mkuu wa 54 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Masara, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Saga. Mwaka wa 833 alimfuata mjomba wake, Tenno Junna, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Montoku.

Mfalme Ninmyo

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ninmyo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Fujiwara no Junshi, iliyochapishwa na Teisai Hokuba, mwaka 1800 na 1805, (Rijksmuseum Amsterdam)