Koki Toyoda
Mandhari
Koki Toyoda (alizaliwa 11 Aprili 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani kwa sasa anacheza kama mshambuliaji wa Iwate Grulla Morioka kwa mkopo kutoka Nagoya Grampus. .[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Koki Toyoda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |