Kofi (jina)
Mandhari
Kofi ni jina la kiume la Kiafrika miongoni mwa watu wa Akan (kama vile Ashanti na Fante) nchini Ghana ambalo hupewa mvulana aliyezaliwa siku ya Ijumaa. Kwa desturi nchini Ghana, mtoto hupokea jina lake la siku ya Akan wakati wa sherehe ya Outdooring, siku nane baada ya kuzaliwa.[1][2]
Kulingana na mila ya Akan, watu waliozaliwa siku fulani huonyesha tabia au sifa fulani.[3][4] Kofi ana jina la utambulisho "Kyini", "Otuo" na "Ntiful" lenye maana ya "mwenda huku na kule" na "msafiri."[5][6]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.researchgate.net/publication/239815297_The_Sociolinguistic_of_Akan_Personal_Names ResearchGate. Ilirejeshwa 2021-04-06.
- ↑ Kamunya, Mercy (2018-10-19).https://yen.com.gh/115080-akan-names-meanings.html Yen.com.gh - Habari za Ghana. Ilirejeshwa 2021-04-06.
- ↑ (PDF) Nameshttps://www.researchgate.net/publication/239815297_The_Sociolinguistic_of_Akan_Personal_Names
- ↑ https://yen.com.gh/115080-akan-names-meanings.html
- ↑ https://www.researchgate.net/publication/239815297_The_Sociolinguistic_of_Akan_Personal_Names ResearchGate. Ilirejeshwa 2021-04-06.
- ↑ https://yen.com.gh/115080-akan-names-meanings.html
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kofi (jina) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |