Kiyatay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyatay kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayatay katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyatay, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyatay kiko katika kundi la Kipama. Wengine hukiangalia kama lahaja ya Kigudang.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyatay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.