Kigudang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigudang kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagudang katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigudang ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigudang kiko katika kundi la Kipaman.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigudang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.