Kiwurrugu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwurrugu kilikuwa lugha ya Kiyiwaidjan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawurrugu katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwurrugu, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwurrugu kiko katika kundi la Kiyiwaidjiki. Wengine hukiangalia kama lahaja ya Kiiwaidja.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwurrugu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.