Lugha za Kiyiwaidjan
Mandhari
Lugha za Kiyiwaidjan (au za Kiiwaidjan) ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha sita tu ambazo huzungumzwa katika jimbo la Northern Territory: Kiiwaidja, Kigarig, Kiilgar, Kimanangkari, Kimaung na Kiamurdag. Lugha hizo zote zimo hatarini mwa kutoweka au zimeshatoweka.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiyiwaidjan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |