Kimanangkari
Mandhari
Kimanangkari ni lugha ya Kiyiwaidjan nchini Australia inayozungumzwa na Wamanangkari katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha ya Kimanangkari, yaani lugha imetoweka kabisa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimanangkari kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimanangkari Ilihifadhiwa 17 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimanangkari katika Glottolog
- lugha ya Kimanangkari katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimanangkari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |